Friday, January 20, 2017

Ucaguzi mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Suza

Mgombea Uraisi  SUZA
mw. Kasim Haji Moh'd ni mmoja kati ya wagombea wa uraisi wa chuo kikuu cha zanziba suza leo amezindua kampeni katika kampasi ya beltras na kuweka vipaombele vyake ambavyo atavitekeleza endapo atapewa ridhaa na wanachuo
hivyo miongoni mwa vipau mbele vyake ni :-
1. kuboresha  mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kampas zote za chuo kikuu hasa kipindi cha mvua. amesema kua kipindi chamvua wanafunzi hupata shida kubwa ya kujifunza kutokana na kukosa sehemu ya kukaa kwa kujisomea bila ya kupata usumbufu wa mvua.
2. Kuweka ushirikiano mzuri baina ya wanachuo, uongozi wa serikali ya wanafunzi na ungozi wa chuo. Mwali Kasim amesema kua mwanafunzi wamekosa imani na viongozi walio pita kwani wanfunzi hao wamekosa sehemu pakupeleka malalamiko yao kutokana na viongozi wao hawakua wawazi katika uongozi wao. hivyo suali ameahidi kulishuhulikia endapo atapewa ridhaa katika chuo cha taifa kua msemaji wa wanafunzi kwa kumleta Mh Rai kwa wanafunzi ili kusikiliza kero zao.
3. kuondoa kero ya penalt ya kutozwa sh 25000/= kwa kuchelewesha malipo kwa wnafunzi. Mw. Kassim amesema kutokana na ucheleweshaji wa mikopo na kua SUZA ni chuo ambacho ndio tegemeo la wanyone nikitu kisicho kubalika mwanafunzi kubebeshwa mzigo ulionje ya uwezo wake. hivyo ameamua kuchukua ahadi ya kukaa na uongozi wa chuo kujadili suli hilo na kupatiwa ufumbuzi unaofaa katika kipindi chake.
4. kusaidia upatikanaji wa mikopo kwa wakati na mengine mengi.
mchague mwalim Kassim Haji Moh'd awe raisi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

No comments:

Post a Comment